TUBEGA(TUSAIDIANE BEGA KWA BEGA) ASSOCIATION NI TAASISI ILI YOANZISHWA NA VIJANA WA MWANAMTOTI ILI KUWASAIDIA VIJANA KUTAMBUA VIPAJI VYAO NA KUWEZESHWA KUVIFANYIA KAZI.
Friday, 28 June 2013
Baadhi ya Vijana wa Vikundi Tofauti kutoka katika Taasisi ya TUBEGA Walipo shiriki katika Moja ya Semina ya Ujasiliamali iliyo Endeshwa na Shirika I.L.O Ikishirikiana na T.R.A Iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii cha Bandari (Temeke)
No comments:
Post a Comment